LOGO

LOGO

Friday 28 February 2014

Kama unabisha bisha tuu, ila black and white ni kila kitu!!!

 
Either Kigauni!!!


Mabega sasa!!

 I like the top!!


 Naomi campbel sasa!!


 Transparent hivi!!!



 Nice and simple!!!
 Black and white suit!!!


 Kina dada wanaitaga cenderella skirt, i like it!!

 What a fashion, ila ndio mixer ya black and white hiyo!!!

 Kibega bega!!!


 White imekolea zaidi, lakini black ikajitokeza pia!!

Anaitwa Tyra Banks!! 

 Ni kama full white, ila mtandio black, wooh, what a simple fashion ila bab kubwa!!

 Casual, but nice!!

Mtakubali tu mixer ya black and white haipingikiiii, baaasiiiii!

Wednesday 12 February 2014

Chezea familia hii!!

Anaitwa Ephraim mabula, a.k.a Babu, a.k.a Handsome boy. Chezea pozi hilo!! Keep it up son, may be you are going to be the next top model! 
 
Baba la baba, a.k.a Katibu!
Are they Bird man and Lil'wayne!!!

 Baaaaaaasiiii! Funga kazi!.





MAMBO YA CHAMPAIGNE!!!!

Ilikuwa ni siku ya Ijumaa ndani ya Harbours club katika sherehe ya wafanyakazi wa idara ya tiba, bandari ya Dar Es salaam, kuuaga mwaka 2013 na kuukaribisha mwaka 2014!!