LOGO

LOGO

Wednesday, 7 May 2014

Lets go smart Gentlemens!!!!

Vidume sio kila siku Tshirt na Jeans tu. Zamani Suit ndio ilikuwa kwa watu wa ofisini tu labda na maharusini na vitu kama hivyo. But now days.... hujamuona Jay Z akiparfom na suit? Lets go smart guys, everywhere, any where...................

 Kwa Redcarpet imo...........................


Kishua shua, kiofisi imo..............................

 Ukichnganyia sasa ndio inakuwa ya kisasa pia. Koti rangi nyingine, suruali rangi nyingine..............
Ila kuwa makini, maana mchanganyiko mwingine, unaweza ukaonekana kama n'gombe wa maziwa


Kidingi dingi sasa......................

 Safi sana, very smart.....
 Iko simple lakini imetulia...................
Inatoshaaaaaa.......................

Pozi za miwani1!!


 Ni kati ya pambo au mnogesho ulioshika kasi sana kwa miaka ya karibuni hususani kwa wanawake ingawa wanaume pia hawapo nyuma. Ukipatia rangi, aina na shape yake ilivyo hakika lazima utatoka bomba. Kikubwa cha kuangalia ni shape ya uso wako na shape ya miwani unayotaka kununua maana usipoangalia unaweza ukawa kituko badala ya kupendeza. Lets watch them waliotupia tuone yaliyomo yamo????????
 Nice one...................



 Jamaaa imemtoa bomba.........................

 Some how cool...............................

 Designes nyingine sasa ndio zakuwa nazo makini. Wanaweza kufikiri ni fundi wa kuchomelea vyuma. (Welding)



 Mdada amezingatia sura yake ilivyo(Ya duara) na akatupia ya duara. Yeye ni mweupe akatupia, ya rangi nyeusi, kwa nini asin'gae na why isimpendeze?



 Hii nayo ni style, unaweza ukatupia miwani lakini si kwa kuivaa bali kwa kuiweka tu kichwani. Ni style common na ipo cool!

Hi, you look good!! 

 I can see you too.......

 Imemtoa bomba.......................


 Rihanna naye yumo.........................

Ashanti jeee..................... 

 Aina hii ipo ya kusomea but ipo ya urembo pia na watu wengi inawatoa fresh.....................



Woooooh....................... 

Size nayo ya kuzingatia. Mwanadada kama hayajamtoa sana coz sura ni ndogo lakini miwani mikubwa. Anyway ndio kashaamua..................... 

 Kapendezaje...............................

 Hata asipoiweka vizuri, imeshatulia.....................

Kabaaaaaaah!!!!

Magauni marefu yana mvuto wake!!


Imekuwa ni kawaida siku hizi kwenye mitoko mbalimbali, kuona akina dada wakipendelea zaidi kutoka na vimini hususani kibongo bongo au labda kwa kuwa waafrika tumejaaliwa maumbo. Lakini ni ukweli usiopingika, magauni marefu nayo yana mvuto wake.................................


 Alicia keys naye akatupia................

 Binti naye akala naye sambamba, sijui nani kamuiga mwenzake........................




 Hata kwa mkanda imo.....................
 



 Simple but classy........ 




 Kama ya harusi vile.....................

 Style ya nyangumi.............

 Style ya mgongo wazi.............




Chagua mtindo, twendezetu!!!!kazi kwenu..........................