LOGO

LOGO

Friday 14 March 2014

Family Cars!!!!


From Family-Friendly Sports Cars to Luxury Hybrid Family Cars
Wakati mtu akizungumzia kuhusu gari kwa ajili ya matumizi ya familia, watu wengi mara moja hufikiria magari makubwa kubwa ili watu wote wa familia waenee.These sleek and stylish examples are showcasing that kutoa nafasi kwa kuongozana safari moja na uwapendao haimaanishi kuacha kuendesha magari madogo ya kifahari na yenye mvuto machoni.

From juiced-up luxury hatchbacks to sleek five-door Sedans, these stylish family cars will certainly make any potential car buyer feel much more confident and pleased about driving these family-friendly vehicles. 


Tiririka na picha hapo chini uone jinsi family car inavyoweza kuwa ndogo but stylish na yenye mvuto, lakini mwisho wa siku nyote mtaenea tu.......................

#1 Aerodynamic Family Vehicles
l Article
EvaGT................


#2 Speedy Family Sedans
Bugatti.........

#3 Futuristic Family Cars
Mazda......................

#4 Supercar Family Wagons

Lamborghini.....................humu tunawaachia kina Beckham!

#5 Glass-Roofed Family Cars

Subaru......................

#6 Juiced-Up Luxury Hatchbacks


BMW............................

#7 Land Rover LRX Concept
Land Rover......Hii kibongo bongo ipo sana!

#8 Streamlined Family Sports Cars


Kazi kweli kweli, inaitwa Dolphin..............

#9 Sports Car Sedans
Ferrari.....................

#10 Family Eco Vehicles
Nissan sunny.......................

#11 Family-Friendly Sports car

BMW, M Edition, 6 series.........

#12 Luxury Hybrid Family Cars
Ashton Martin......................

#13 Family-Friendly Italian Micro Cars
Fiat 500L.................................

#14 Futuristic Eco-Hatchback Concepts
Honda.....................

#15 Ford Escape Hybrid
Ford.....................

#16 Turbocharged Hatchback Vehicles

Volkswagen, Golf GTI......................

#17 Hydrogen-Powered Family Cars

Citroen..........................

#18 Sleek Five-Door Sedans

Alfa Romeo.....................

#19 Electric Family Vehicles
Volvo C30......................

#20 Sumptuous Family Sedans
Jaguar...................
Renault....................

#22 Classy Compact Cars
Mercedes Benz, A45 AMG....................

#23 Electrified Family Cars
Kia.................

#24 Speedy Luxe Sedans
Porsche...................

#25 Oversized Italian Family Wagons

Fiat 500L MPW..........................

#26 Speedy Spacious Sedans
Mercedes Benz E63 AMG................

#27 Family-Sized Super Cars
Maserati........................


Saturday 1 March 2014

TUCHEKE KIDOGO!!

 Yanakuhusu kweni, si nimeamua tu nipaki hivi!!
 Du, nilikuwa na kiu kweli na maji kitaani yamekatika, bora hata haya mafuta yameniokoa!!!
 Aka babu wee hata mimi mzuri, ngoja nijifotoe mimi nikatume face book picha yangu!

 Mnaonaje tabasamu langu!

 Kwa raha zangu!
 Mwaaaaa, chukua busu hilo my
 love!!
 Tatizo la kushiba ndio hili sasa, usingizi!

 Hapo vipi, hapo sawa!!

 Kwa nini hawaleti mashindano ya Mr world, maana kila siku nasikia Miss World tu, kwa pozi hili kweli nitakosa ushindi, au mnasemaje wadau!

 Hebu John acha kunichekesha, umeona mwenzio hapa ninavyocheka, hapa mbavu sina,tehe tehe tehe!

 Yule dogo anaulizia kuhusu miss world, hajui ndio mimi!!

Nashangaa binadamu eti wanataka kuishi muda mrefu, kweli mnataka kuwa kama mimi? Haya sasa hapa nitakulaje mdomo sijui unataka kuingia puani!!

 Kwa pozi hili sikosi demu instagram, mimi handsome bwana!!

 Hapa nina,miaka mingine kama kumi hivi ya kuishi, kuishi raha ila cha moto nakiona!!

 Baba Osama, mama bush, watoto sasa..... namuona sadam kwa mbaliiiiiii, Mh mimi Simo!!

 Hii harusi haiishi tu, nataka niwahi zangu mjini nikawaonyeshe washikaji totoz langu!!

 Natafuta kazi ya ubaunsa jamani!!

 Ngoja nikapige misele mtaani!!

 Ngoja ninunue zangu burger hapa Mcdonalds, maana nimepungua kweli, nataka angalau ninenepe kidogo!

 Nanyanyua chuma mwaka wa kumi sasa, cheki nilivyokata, hata arnold shwarvneger hanipati!!

Oyaaaa masela wa kitaa, mambo vipi!!!!