LOGO

LOGO

Saturday 1 March 2014

TUCHEKE KIDOGO!!

 Yanakuhusu kweni, si nimeamua tu nipaki hivi!!
 Du, nilikuwa na kiu kweli na maji kitaani yamekatika, bora hata haya mafuta yameniokoa!!!
 Aka babu wee hata mimi mzuri, ngoja nijifotoe mimi nikatume face book picha yangu!

 Mnaonaje tabasamu langu!

 Kwa raha zangu!
 Mwaaaaa, chukua busu hilo my
 love!!
 Tatizo la kushiba ndio hili sasa, usingizi!

 Hapo vipi, hapo sawa!!

 Kwa nini hawaleti mashindano ya Mr world, maana kila siku nasikia Miss World tu, kwa pozi hili kweli nitakosa ushindi, au mnasemaje wadau!

 Hebu John acha kunichekesha, umeona mwenzio hapa ninavyocheka, hapa mbavu sina,tehe tehe tehe!

 Yule dogo anaulizia kuhusu miss world, hajui ndio mimi!!

Nashangaa binadamu eti wanataka kuishi muda mrefu, kweli mnataka kuwa kama mimi? Haya sasa hapa nitakulaje mdomo sijui unataka kuingia puani!!

 Kwa pozi hili sikosi demu instagram, mimi handsome bwana!!

 Hapa nina,miaka mingine kama kumi hivi ya kuishi, kuishi raha ila cha moto nakiona!!

 Baba Osama, mama bush, watoto sasa..... namuona sadam kwa mbaliiiiiii, Mh mimi Simo!!

 Hii harusi haiishi tu, nataka niwahi zangu mjini nikawaonyeshe washikaji totoz langu!!

 Natafuta kazi ya ubaunsa jamani!!

 Ngoja nikapige misele mtaani!!

 Ngoja ninunue zangu burger hapa Mcdonalds, maana nimepungua kweli, nataka angalau ninenepe kidogo!

 Nanyanyua chuma mwaka wa kumi sasa, cheki nilivyokata, hata arnold shwarvneger hanipati!!

Oyaaaa masela wa kitaa, mambo vipi!!!!

No comments:

Post a Comment