LOGO

LOGO

Wednesday 9 November 2016

A model Carazon from Kenya...



Ni Model wa Kiafrika, Raia wa Kenya mwenye umbo matata, ambapo huwa haoni aibu yoyote, kuachia umbo lake matata lionekane kupitia picha mbalimbali anazopenda kupiga na kuziachia mitandaoni.



Jina lake kamili anaitwa Carazon kwamboka, mhitimu wa Degree ya sharia, aliyoipata katika chuo cha School of Law, mjini Nairobi, mwaka 2013.











Aligunduliwa na mpiga picha Kevin Bbou wa Bouart photography. Mwenyewe anasema kuna siku alikwenda kumsalimia rafiki yake katika Studio hiyo na ndipo mpiga picha huyo alipovutiwa naye na kumpiga picha kadhaa na hapo ndipo ukawa mwanzo wa safari yake ya U-model.
























No comments:

Post a Comment