LOGO

LOGO

Wednesday 17 January 2018

Ama Kweli!!!

Ajabu lakini kweli... maumbo na tabia za ajabu.


Anaitwa Mikel Ruffinelli................The World biggest Hips. Ana hips kubwa kweli kweli.



Anaitwa Asha Mandela.....................The World longest Dreadlocks. Rasta za asili na ni ndefu kweli kweli.



The Rapunzel Family...................The world Longest Combined Ponytail. Familia iliyobahatika kuwa na nywele za asili ndefu kwelikweli.



Anaitwa Michelle Koebke.....................Small waist. Kiuno chembamba hatari.



Anaitwa Kajol Khan....................Indian Snake Girl. Yeye kutwa na nyoka tu.



Anaitwa Elisany Da Cruz Silva..........Tall Model Finds Love. Ilimchukua muda kupata mpenzi kutokana na urefu wake, lakini hatimaye alimpata.



Janice Haley.................Keeps Bengal Tiger in Her Garden. Wakati wewe unamuogopa Tiger, mwenzio yeye anaishi naye tu.



Romario Dos Santos Alves..................Injected Oil into his Arms. Alitamani ubaunsa akajidunga sindano. Yes, akawa baunsa.



Pakkirappa Hunagundi....................Eating Bricks, Gravel and Mud. Jamaa yeye kazi yake ni kula mawe, matofali na matope.



Mark Dumas.............The only man who can swim with a polar Bear. Wakati watu wanaomuogopa Bear kutokana na ukali wake, jamaa yeye hana tabu naye kwenye suala la kucheza naye.

Anaitwa Kann Trichan..............Fries Chicken with bare hands. Jamaa yeye kukaanga chips na kuku kwa kutumia mikono tu kwenye karai lenye mafuta yalichomke haswa, kwake ni jambo la kawaida tu



Simon and George Cullen..................The Vampire Twins. Ni mapacha waliozaliwa katika muonekano wa Vimpires.



Anaitwa Rajee Narine Singh..........................Cement face. Alifanyiwa Plastic surgery ili uso uwe mzuri zaidi, matokeo yake sura ikatoka ya ajabu sana.



Piyah Martell................ Transgender teen with no legs. Alizaliwa mwanaume na ulemavu, lakini hilo alikumzuia kwenda kubadilisha jinsia na kuwa mwanamke pamoja na ufupi wake wa ulemavu.



Anaitwa Charlotte Garside............................The Worled smallest girl. Amezaliwa akiwa na umbo dogo mno.



Anaitwa Sean Stephenson......................The World Smallest husband. Mfupiiiiii



Ibrahim Hamato.......................Plays Tennis Without Arms. Jamaa hana mikono lakini hilo halikumzuia kutokuwa mcheza tennis akitumia mdomo.



Cassidy Hooper................. Born without Nose and Eyes. Alizaliwa bila macho wala pua.




Anaitwa Sam Berns.....................Progeria ni aina ya ugonjwa huwapatao watoto na kuwafanya waonekane kama watu wazima. Hapa alikuwa na miaka 16 tu.




Kelly Lee Dekay................Shrinking Waist. Kiuno sasa.

No comments:

Post a Comment