LOGO

LOGO

Friday 21 November 2014

Tujionee madaraja ya wenzetu!!

Unaambiwa tembea uone!! Kuna vitu vingine vya kustaajabisha duniani. Unakuta daraja, unajiuliza hili limejengwa au limejijenga au kitu gani kimetokea mpaka likawa hivyo. Tusimalize uondo...jioneee!


Daraja la Peak walk, nchini Switzerland!!


Daraja la Punte Nuevo, nchini Spain.(Punte Nuevo maana yake daraja jipya kwa kihispaniola)


Daraja la water falls, Luxembourg.


Daraja la Latefoss, Norway.


Daraja la Stone, Spain.


Daraja la Dyavolski most, Bulgaria. (Dyavolski maana yake shetani)


Daraja la stari Most, Bosnia Herzegovina.


Daraja la Living root, India.


Daraja la Helix, Singapore.


Daraja la Chengyang,China.


Daraja la Ponte dei sospiri. Italy.


Daraja la Puente del alamillo, Spain.


Daraja la Glefinnan Viaduct, Scotland.


Daraja la Ponte vecchio, Italy.


Daraja la Khaju, Iran.

Friday 15 August 2014

Footballers wakishow love na ndinga zao!

Wacheza mpira wa miguu ni kati ya wanamichezo wanaolipwa zaidi duniani. Na pia kama si wote basi asilimia kubwa ni machizi magari Tuone baadhi yao na ndinga zao.......
1.CRISTIANO RONALDO

 Christiano Ronaldo akivinjari mitaani na ndinga yake.

2.LEONEL MESSI

 Leonel Messi akiwa amepaki mkoko wake.

3.WAYNE ROONEY

Wayne Rooney kitaani na mkoko wake.

4.SAMUEL ETOO

 Samuel Etoo akiwa amepozi juu ya magari yake.

5.MARIO BALLOTELI


 Mario Balloteli akiosha Ferrari yake.


6.FRANK RIBERRY
 Frank riberry akikatiza kitaani.







Black and white part two!

Kama kawa black and white fashion inazidi kuchukua nafasi!!




















Idea za kushangaza zitakazofanya nyumba yako ionekane tofauti!

Wanasema kipenda roho hula nyama mbichi. Kila mtu anapenda kitu anavyopenda kiwe. Leo tuangalie dizaini mbalimbali za jinsi watu walivyoamua nyumba zao zionekane tofauti kwa jinsi tu walivyopenda wao.
 Aquarium Bed..... Yaani kitanda kinakuwa na sehemu ya kufugia samaki.

 Chandelier that turns your room into a forest.......Ni aina fulani ya taa ukiwasha tu chumba kinakuwa kama msitu.

 Indoor - outdoor pool..............Bwawa la kuogelea linaanzia ndani mpaka nje. Unaamua tu leo uogelee ndani au ukaogelee nje.

 Swing set table...................Ni kama bembea. Tumezoea kuona bembea nje lakini kwa aina hii ni sebuleni, unapata chai huku unaswing.

 Spiral staircase slide..............Ngazi za kuzunguka lakini pembeni yake inazungukwa na sehemu ya kuslide. Kazi kwako kama unaona uvivu kushuka na ngazi basi unaslide tu mpaka chini. Watoto sasa ndio watapata pa kuchezea!


 Cat transit system...............kwa wale wapenda paka lakini hawapendi uchafu. unaweza ukaweka mfumo huu wa kumfanya paka ajivinjari huku na kule lakini kwa njia maalumu.

 Glass floor.........


 Fusion dining table................Ni dining table ambayo baada ya kumaliza mambo ya maankuli unaweza ukaifungua na ikawa pool table.

 Hammock bed.....................Raha jipe mwenyewe kitanda cha kunin'ginia.

 Understairs storage..........Hii safi sana, badala ya nafasi ya chini ya ngazi kukaa bure jamaa wakafanya utundu ikapatikana droo za kuwekea vitu hata nguo.

 Backyard cinema................mambo ya kufunga mini cinema garden.


 Ping pong door............NI Mlango lakini pia unaweza ukawa sehemu ya kuchezea tennis

 A wall that plays music when it rains..........Mabomba yametengenezwa kwa namna ya trumphets mvua ikinyesha maji yakipita ndani yanatoa milio tofauti kiasi cha kuleta ladha tamu ya music.


 Herb garden in your kitchen...............


 Bookcase staircase..................ni yale yale matumizi bora ya ngazi. Pembeni pamefanywa kama shelf ya vitabu.

 Backyard beach............kwa wenye maeneo yao unaweza nyuma ya nyumba yako ukaweka beach yako kama hii.


 Spiral wine storage.....................Ni sehemu ya kuhifadhia wine amnayo ipo chini ya ardhi. Unafungua tu kioo cha juu unakutana na ngazi unaenda kuchagua wine yako.



 Hammock over the stairs...........Kama huna uwezo wa kujenga ghorofa na una hamu ya kuwa unapanda ngazi kwenda kulala juu, basi fanya hivi.

 Walk in pool...........Tumezoea kuona pool za kushuka kwa ngazi. Hii ni tofauti unatembea tu kuingia

 Ice cave in your room.

 Skate park room.



 Backyard office.

 Indoor slide....... mko ndani lakini mnacheza mchezo wa kuslide.

 Kitchen table tennis.