LOGO

LOGO

Saturday 12 April 2014

Nani bomba zaidi kati ya Kim Kardashian na Beyonce?

Wote ni maarufu, wote wana mkwanja mrefu, wote ni wana wapenzi maarufu! Huku Kim Kardashian ana Kanye West, huku Beyonce ana Jay Z! Wote ni wazazi! Huku Kim Kardashian ana mtoto anaitwa North west, huku Beyonce ana mtoto ana itwa Blue Ivy. Lakini yote kwa yote, wote ni warembo, Kim kardashina ni balaa, Beyonce ni balaa! Lakini kila macho lina mtizamo wake, mimi nahisi nani zaidi, wewe je? Hebu twende tuone...................!

TUANZE NA KIM KARDASHIAN............

Akitengeneza picha kwa ajili ya cover la jarida la play boy, lakini baadaye alikuja kuomba radhi kwa picha hii! 


Kim in Bikini....



Sitting on top of the world......



 Nice eyes!!





Mwaaaaaaa, chukua kiss hilo!








 Make ups zimekubali haswa!

 Siku alipovishwa pete ya uchumba na mume wake wa kwanza, humphries!




Ni nadra kumkuta na dreads lakini this time alijaribu kuwa nazo!

Kim kardashian inatosha................................................


TWENDE KWA BEYONCE KNOWLES!
 





Kama naye anajaribu hivi to-sit on top of the world....








 Beyonce in Bikini.........

 Cute!!!!

A grammy winner!!

 Kama kim, wote si watu watu wa dread, lakini Beyonce naye akajaribu kutupia dreads.

 Kimasai masai au.....................

Nice eyes!

 Utajiju........!






 I like the short!

 Baaasssssssssiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!

NEXT TIME TUTAONA MITOKO NA WAUME ZAO, KIM NA KANYE, BEYONCE NA JAY Z, JE COUPLE IPI INAKUWA BOMBA WAKIWA PAMOJA? DONT MISS, NI HATARI!!

No comments:

Post a Comment