LOGO

LOGO

Tuesday 6 May 2014

Duniani kuna fashion jamani!!

 Kama unajifanya wewe ni bingwa wa fashion na unapenda kuiga mitindo mbalimbali, basi iga na hii ya humu!!


 Hiki kiatu ukikanyaga watu mimi simo, maana hicho kisigino!!



Mawaya waya style!!




 Kighorofa ghorofa!!

 Kimnya mnyama, halafu kama unaingia maisha club hivi, watakukimbiaje!!



Kofia au sahani!!


Kimustachi mustachi!!!


Kama mnyama vile!!

No comments:

Post a Comment