LOGO

LOGO

Tuesday 6 May 2014

Swag za Kigangstar gangstar!!

Ni utamadani haswa wa kimarekani, ingawa dunia nzima umetapakaa hususani kwa vijana lakini wazee nao huwa hawapitwi. Ni utamaduni wa swag za milegezo, bandana kichwani, meno yaliyopambwa,kuchomeka kitambaa mfuko wa nyuma. N.K. Hebu tujionee......

Obama akiwa katika swag za bling bling, huku pete mkono mzima, bonge la saa na blaclet ya maana.

Swag za bling bling za meno.......

Kutembea na mbwa ni utamaduni wa kawaida kabisa kwa wenzetu. Lakini je, mbwa wako ana swag zipi. Chukua hiyo moja ya pull over ya kijeshi, na cheni kali ya dollar sign.

Mlegezo.........Chini kabisa truck, halafu bukta ya bluu halafu bukta nyeusi..... anaenda zake class!!

Kama unamjua Soud brown a.k.a the gossip cop hizi ndio swag zake, but hii kaifanya mbwa.

Bling sio kwenye meno tu, chukua bling ya tairi hiyo. Na size sijui ngapi!

Ubaunsa ni swag ya mjini now, jamaa naye hayupo nyuma!!



Funga jicho moja style ni swag ya zamani. Kibongo bongo inawakilishwa sana na kalapina kiongozi wa kikosi cha mizinga. Na hiyo micheni sasa!!


Chukua mlegezo huo!

Du, No more to say.......

Niongee nini sasa...........

Ni Swag nzuri tu ya kuhifadhi fedha si unajua mifuko ya suruali na wallet imejaa.......

Oyo whats niggers, nazeega na ugangstar wangu!! Kapelo, cheni na kihereni au vp!!

Chukua hizo na wewe ukajipimp............

Kibongo bongo tuaita kiduku. Lakini unyamwezini inaitwa Mr T style. Mr T alikuwa mcheza sinema wa zamani na ndio kama muasisi wa mtindo huu wa nywele.


Milegezo kwenda mbele...........Na Tshirt kubwa sana. Swag ilibamba sana miaka ya karibuni.

Nani alikuambia madon nao hawana swag za kigangstar. Full micheni!!

Gangstar Dog...................

A pimp old man na kimodel......

Kitu magotini................

Siwezi kukimbia man, suruali itadondoka. Subirini nivuke taratiiibuu....

Kitu cha bling ya meno..............

Msg delivered.......................

Haya msogelee kamuibibie maziwa yake kama hajakupasua kichwa!!

Anapata stimu ya bia kwanza ili akimaliza abebe gun yake aende getini akalinde...

Yoo whats up Wabakaji kama hamjitaki nisogeleeni............

Tshirt au gauni, mtajiju, but all in all it's our Swag....................

No comments:

Post a Comment