LOGO

LOGO

Wednesday 7 May 2014

Pozi za miwani1!!


 Ni kati ya pambo au mnogesho ulioshika kasi sana kwa miaka ya karibuni hususani kwa wanawake ingawa wanaume pia hawapo nyuma. Ukipatia rangi, aina na shape yake ilivyo hakika lazima utatoka bomba. Kikubwa cha kuangalia ni shape ya uso wako na shape ya miwani unayotaka kununua maana usipoangalia unaweza ukawa kituko badala ya kupendeza. Lets watch them waliotupia tuone yaliyomo yamo????????
 Nice one...................



 Jamaaa imemtoa bomba.........................

 Some how cool...............................

 Designes nyingine sasa ndio zakuwa nazo makini. Wanaweza kufikiri ni fundi wa kuchomelea vyuma. (Welding)



 Mdada amezingatia sura yake ilivyo(Ya duara) na akatupia ya duara. Yeye ni mweupe akatupia, ya rangi nyeusi, kwa nini asin'gae na why isimpendeze?



 Hii nayo ni style, unaweza ukatupia miwani lakini si kwa kuivaa bali kwa kuiweka tu kichwani. Ni style common na ipo cool!

Hi, you look good!! 

 I can see you too.......

 Imemtoa bomba.......................


 Rihanna naye yumo.........................

Ashanti jeee..................... 

 Aina hii ipo ya kusomea but ipo ya urembo pia na watu wengi inawatoa fresh.....................



Woooooh....................... 

Size nayo ya kuzingatia. Mwanadada kama hayajamtoa sana coz sura ni ndogo lakini miwani mikubwa. Anyway ndio kashaamua..................... 

 Kapendezaje...............................

 Hata asipoiweka vizuri, imeshatulia.....................

Kabaaaaaaah!!!!

No comments:

Post a Comment