LOGO

LOGO

Wednesday 14 May 2014

Mastaa wetu walivyoonekana zamani!!

Huwezi kuamini hivi ndivyo baadhi ya mastaa mbalimbali walivyokuwa wakionekana aidha wakati wadogo, au wakati wanasoma na vile vile kabla hawajawa watu maarufu.

 Huyu ni Model maarufu duniani Tyra banks.........
 Raisi wa zamani wa marekani Bill clinton.............
 Mke wa raisi wa marekani Michelle obama.................
 Mcheza wa kikapu maarufu Shaqeel oneal................
 Raisi wa marekani Barack obama...............
 Marehemu Whytney houston....................
 Bilionea Bill gates......................
 Mchezaji mahiri wa kikapu Kobe bryant..........
 Kim kardashian..............
 Nguli wa hip hop, mzungu kichaa Eminem..................
 Diva wa music Beyonce...........................
 P. Diddy mwenyewe....................
 Du, lily wayne sasa....................
 Marehemu Notorius B.I.G...............
 Mr Carter a.k. Jay Z........................
 Marehemu Tupac.........................
 Nick minaj, mwanamuziki wa kimarekani..................
 Marehemu Aaaliyah............................
 Du, Drake memba wa young money, utafikiri profesa.................
 Hayati Sadam hussen, raisi wa zamani wa Iraq.....................
 Bird man, Young money C.E.O...................
Ujanja wote huu lakini hivi ndivyo amber rose alivyokuwa mdogo.......................

No comments:

Post a Comment