LOGO

LOGO

Thursday 10 July 2014

Ladies in Tshirts!!

Zamani ilikuwa ni kama T shirts ni kwa ajili ya wavulana au wanaume kwa ujumla, na labda ndio historia yake. Lakini kutokana na mabadiliko ya mitindo na utandawazi Tshirts sasa limekuwa vazi la jinsia zote ingawa wamejaribu kuziweka katika dizaini ya blauzi. Hebu tuone kina dada wakitupia zinavyowatoa bomba!!


















No comments:

Post a Comment