LOGO

LOGO

Friday 4 July 2014

Mikato ya Handbags kwa kina dada!!

Unaambiwa mwanamke kutembea bila handbag, ni kama kuwa out of fashion. Lakini ukweli pia handbag ni kila kitu kwa mwanamke kutokana tu nature yao ya kubeba vitu kama vipodozi n.k. Zipo za kila aina, za bei ya juu na kila aina ya dizaini. Usiangalie yote hayo cha msingi, kama mwanamke beba handbag.... Tuone dizaini mbalimbali za kisasa!!








































No comments:

Post a Comment