LOGO

LOGO

Saturday 14 June 2014

Kuna watu wanaishi jamani!!

Mahekalu!! Ndivyo unavyoweza kusema kwa lugha rahisi. Sio tu kwa ukubwa na ubora, bali kwa mvuto na designs zake. Ndio maana nikasema kuna watu duniani wanaishi..... hebu tuangalie mahekalu mbalimbali yanayomilikiwa na wenye nazo!









































Ni mijengo ya maana. yaani mpaka mtu unajikuta tu ukitoka kazini unawahi nyumbani. Maana una uhakika wa kufika na kukuta sehemu ya kupumzika, sio kufika unaanza kukimbizana na panya kwanza. Kwa mijengo hii panya afuate nini, yeye mwenyewe ataogopa kusogelea!!

Sneekers!!

Ni ulimwengu wa kiujana zaidi, ni ulimwengu wa sneakers!!


































Chagua moja utupie na jeans au na pensi!!