LOGO

LOGO

Thursday 12 June 2014

Modelling si kazi rahisi Jamani!!!

Imekuwa ni kama kimbilio kwa vijana kufanya modelling sio tu kama hobbie, bali sasa imekuwa ni ajira kamili kwenye ulimwengu wa kisasa!! Zamani ilionekana na kama kama kazi ya wasichana lakini kipindi hiki wanaume nao wameichangamkia fursa hii. Kikubwa katika modelling ni kuonyesha mitindo, ubunifu na inakuja ajira zaidi linapokuja suala la matangazo hasa ikizingatiwa kampuni nyingi siku hizi hutumia models kujitangaza. Lakini kwa kweli ni kazi inayohitaji moyo. Hebu tuangalie baadhi ya picha za wenzetu zinavyopigwa kimodel model, halafu ndio ujiulize ukiambiwa upige wewe utakubali?
















Beckham naye hayuko nyuma. akiwa na mkewe Victoria wakitangaza chupi za Emporium!






No comments:

Post a Comment