LOGO

LOGO

Wednesday 4 June 2014

Kikaka kaka!!

Fashion kwa wanaume umekuwa ni kama kawaida tu sawa na akina dada. Moja wapo ya fashion ambayo lazima mwanaume aizingatie ni kiatu. Kuna viatu vinaitwa vya kikaka kaka, yaani vinaonekana ni kama vya kiujana lakini special kwa kuvalia suruali za vitambaa au cadet, lakini kiukweli ukivalia hata jinsi ukachomekea na shirt hivi, lazima utoke bomba pia. Hebu tuitizame mikato na unaweza ukachagua wako, ukasogea duka lolote la karibu na kujipatia....



























Kazi kwako!! Fid Q, anakuambia Chagua moja..........

No comments:

Post a Comment