LOGO

LOGO

Saturday 7 June 2014

Ni sehemu kama huwa tunaisahau hivi!!

Tembea sehemu nyingi, tembelea nyumba nyingi, utakuta nyumba nzuri, inawaka na kuvutia. Kubwa, yenye kila aina ya nakshi. Ingia sebeluni sasa, bonge la sofa, TV Inchi 80, carpert la manyoya ya simba, fridge hiloooo. Nenda chumbami, kitanda cha waterbed, inchi 18 kwa 18!! Lakini sasa hebu sema uende bafuni, Utajuta!! Wengi wanaweza kubisha but ndio ukweli watu wengi wanajisahau sana kuhusu mvuto wa mabafu yao. Either utakuta pachafu au kama sio pachafu basi hapavutii wala kunukia. Hebu tuone samples za mabafu yanavyotakiwa yawe. Kutokana na uchumi tunaweza tusifike level hizo lakini angalau tupate picha ya tunavyoweza kuyatendea haki mabafu yetu...............









Hata kulala unaweza ukalala, jinsi mabafu yalivyo masafi na yanayovutia!!!

No comments:

Post a Comment