LOGO

LOGO

Wednesday 13 August 2014

Go fashioned girl.......hata kama mjamzito!! Kim kardashian anatupa somo!

Imekuwa ni kama utamaduni wa kiafrika mwanamke akiwa mjamzito basi ndio huwa anajisahau kweli kweli kiasi cha kuonekana kachoka au yupo hovyo muda wote. Kama yupo nyumbani basi nywele tim tim, kama anatoka basi ndio atatupia dira na juu no make up, ili mradi tu. Ingawa Yes kiafya tunashauriwa kuwa wachaguzi wa nguo fulani fulani, kwa mfano zisizobana tumbo nk, but still, unaweza ukachagua nguo fulani fulani, ukaonekana smart na upo kifashion zaidi. Hebu tumuone Kim kardashian alivyokuwa mjamzito alivyokuwa akitupia viwalo!





























pregnant.....but smart and fashioned!

No comments:

Post a Comment