LOGO

LOGO

Thursday 11 February 2016

Kuiga Celebrities wanavyovaa sio Mbaya!!

Tokelezea sawa na Celebrities!! Inaweza ikawa quality za nguo zikapishana, lakini tunaweza tukacopy style zao za kuvaa na sisi tukatoka bomba. Hebu tuwaone wakiwa kwenye mitoko mbalimbali tu ya kawaida na vitu kama hivyo....




















Kazi kwenu!!!!

Picha za Harusi za Kifalme (Royal Weddings) Za kuanzia miaka hiyoooo....

Kwa Sisi ambao hatujazaliwa katika familia za kifalme au basi hatuna hata uwezekano wa kuengage na familia, basi angalau tunaweza kuiga hata mavazi yao wakati wa harusi zao. HuwaWamavaaje, ili basi na sisi siku ya ndoa zetu tuige kidogo.....

1.Prince Rainier III (The sovereign of Monaco) na Grace Kelly.
  

 
 2.Princess Victoria (Crown Princess of Swedish, heiress apparent to the Swedish throne) na Daniel Westling.


 
3.Prince William (Third in line to the British Throne) na Kate Middleton.

 
4.Princess Margaret(Sister of Qeen Elizabeth II) na Antony Armstrong-Jones.
 
 
 5.Qeen Elizabeth II(Qeen of England) na Prince Phillip.
 

 
 
6.Princess Caroline of Monaco na Phillipe Junot.
 

7.Prince Charles(Prince of Wales and heir apparent to the British Throne) na Lady Diana Spencer.
 

 
8.Prince Carl Philip (Third in line to the Swedish throne) na Sofia Hellqvist.


9.King Felipe (Then Prince of Asturias, heir apparent to the Spanish throne) na Letizia Ortiz.


 
10.Prince Guillaume (The Prince of Luxembourg, heir to the throne) na countness Stephanie.
 

11.Prince Pavlos  (Crown Prince of Greece) na Marie-Chantal Miller.
 
 
12.Prince Hamzah (Former Crown Prince of Jordan).


13.The Duke of Windsor na Wallis Simpson.

14.King Hussein bin Talal na Lisa Najeeb Halaby.
 

15.King Constantine (King of Greece) na Princess Anne-Marie .

16.Prince Naruhito  of Japan na Masako Owada.

17.King Jigme Khesar Namgyel Wangchuck (King of Bhutan) na Jetsun Pema.
 

18.Prince Hajah Hafizah Sururul Bolkiah na Pengiran Haji Muhamad Ruzaini (Fifth daughter of Brunnei's Sultan).