LOGO

LOGO

Thursday 11 February 2016

Nani aliyesema full suti au koti na Tai ni style kwa wanaume tu linapokuja suala la Recarpet!!

Zamani vazi la suti lilionekana ni kwa ajili ya wanaume tu! Lakini kwenye dunia ya kisasa wanawake wameweza kubadilisha sio suti tu, bali aina nyingi tu ya nguo za kiume na kuzifanya kuonekana kike na kuwatoa bomba. Leo tutaangalia picha za watu maarufu wa kike duniani ambao wengine suti zimewapendeza zaidi kuliko hata wanaume wenyewe.
 
 
 1.Rihanna.
 
2.Blake livey.


3.Jessica Alba.


Na Wengineo kibaoooo, waone......
 


 

 

 


 













No comments:

Post a Comment