LOGO

LOGO

Wednesday 3 February 2016

Umri sawa, lakini muonekano mmmh!.... TOFAUTI......

Mara nyingi watu maarufu hawapendi kutaja umri wao, sijui kwa nini lakini anyway... labda ni lifestyle tu. Wengine hulazimika kufanya plastic surgery ili waonekane vijana ingawa kiukweli umri umekwenda. Unakuta mmoja ana sura ya kitoto, mwingine ya kiutu uzima lakini umri wako sawa. Nakuletea mastar ambao wana umri sawa, lakini kiukweli kimuonekano tu unaona hawafananii, sijui ndio operations au kutojitunza.........

1.Angelina Jolie & Tara Reid


 2.Jennifer Aniston & Cate Blanchett

 3.Margot Robbie & Sarrah Hyland


4.Serena Gomez & Kate upton


 5.Jennifer Lopez & Ellen Pompeo

No comments:

Post a Comment