LOGO

LOGO

Friday 5 February 2016

Brad Pitt & Angelina Jolie... Familia iliyotoa mfano Duniani!

Sometimes picha tu za familia zinaweza kukueleza hii familia ikoje au inaishije... Na je ina upendo?
Fuatilia picha za Brad Pitt na Angelina Jolie wakiwa na watoto zao utagundua aina ya upendo  unaowazunguka. Usishangae rangi coz tunapiga vita ubaguzi wa rangi ila kujuza tu ni kuna wengine ni  wamewa-adopt  so its a family, and look  ambavyo You cant see the difference...... I love this Family!!



































Ni familia ya mfano na kuigwa pia....Maana picha zote zinaonyesha how happy, they are!

No comments:

Post a Comment