LOGO

LOGO

Wednesday 3 February 2016

Sura Mfanano/Pale mastaa wanapojikuta sura ile ile na raia wa kawaida mitaani!!

Kuna raia wa kawaida kabisa mitaani wana damu na watu wao wanaowapenda kiasi cha kuamua, kama wana fedha, basi kwenda kufanya plastic surgery ili mradi tu wafanane na mastaa wawapendao. Lakini wapo pia ambao wamefanana tu na wahusika, cha msingi ajitengeneze kidogo tu ili waende sawa. Hebu tuone raia kadhaa wenye mfanano na mastaa kadhaa wakubwa duniani.

(1)Actor Mark Wahlberg na Asian Mark Wahlberg.



(2)Adrian Brody......kama snoop Dogg Dogg.

(3)Jamaa kutoka India tu..... kama George clooney.
  
(4)Jamaa kama Morgan Freeman!

(5) Huyu Kaamua kuwa Drake.... Hotline bling, anaweza kuimba kweli?


(6) Asian guy upande wa kulia.... kaamua kujifanya Bruce wills.



(7) Angalia jamaa wa kulia kaamua kuwa Arnold Schwarzenegger....

 (8)Jamaa kutoka Nepal, kaamua kuwa former president of US, George W Bush...


(9)Alivyoamua tu kuwa kama President Barack Obama.


(10) Like.... Kobe Bryant!!!

(11) Joseph Gordon  Levitt ulitaka uonekane kama kung fu master?



(12)Haya Nicolaus Cage... mzee wa Face off movie... raia pia wameiface off sura yako.
 

(13)Alfonso Ribeira... ila alijulikana sana kama Carlton kwenye The fresh prince of Bel Air akiigiza kama cousin wa Will Smith, naye kapata mfananaji mwenzie.


(14)Matt Damon, Star Mkubwa Wa movie marekani.... anapopata mfanano wake.

  
(15)Brad pitt? Una twin from Asia?  Hahaaaaaa....

No comments:

Post a Comment