LOGO

LOGO

Thursday 11 February 2016

Viwalo unavyoweza kuvaa Ofisini, Ukatoka Bomba lakini ukaennda sawa na hali ya hewa ya Joto.

Kuna Namna unaweza ukavaa, ukatoka bomba kazini na pia kwa kuendana na hali ya hewa ya  Joto. Maana Kikifika kipindi cha joto unaweza ukashangaa huyu mtu anaenda Disco au Kazini kumbe kuna namna tu ukawa smart lakini upo sawa tu na joto. Tuone kidogo.....
























 Ni mifano tu ya jinsi ya kuvaa, kama ilivyobuniwa na Mwanamitindo Aneliya Vasilieva.

No comments:

Post a Comment