LOGO

LOGO

Thursday 11 February 2016

Hee, Kumbe mastaa hawa awali Meno yao yalikuwa hivi!!

Kuna baadhi ya mastaa ukiwakuta kwenye red carpet wametabasamu lazima utasema wooooh kwa jinsi smile usoni linavyoshine na midomo mpaka meno kupendeza vilivyo. Kumbe wapo kibao ambao walifanyiwa operesheni ili waonekano bomba kwa kuwa hapo awali meno yalikuwa yanatisha. Utaona awali walivyokuwa, na baadaye walivyokuwa baada ya operesheni hiyo ya kurekebisha meno......

1.Cheryl Cole.

2.Demi Moore.

3.Katty Perry.

4.Tom Cruise.

5.Miley Cyrus.

6.Jennifer Garner.

7.Megan Fox.

8.Emily Blunt.

9.Allesandra Ambrosio.

10.Christiano Ronaldo.

11.Chriss Rock.

12.Zac Efron.

13.Victoria Beckham.

14.Kate Holmes.

15.David Bowie.

16.50 Cent

17.Catherine Zeta Jones.

18.Kate Beckinsale.

19.Nicolas Cage.

20.Noel Gallagher.

21.Carol Vorderman.

22.Tulisa.

 

No comments:

Post a Comment