LOGO

LOGO

Thursday 4 February 2016

Mastaa wakichuana kuvaa Magauni ya Kumwaga radhi!!

Ulaya na Marekani, raha sana. Unaamua tu kuvaa unavyojisikia ili mradi tu upendeze na hamna atakayekuchukulia hatua, tofauti na Afrika ambako mila na desturi za nchi nyingi zinabana kuhusu aina fulani za mavazi hususani yanayoacha sehemu kubwa ya mwili wazi.
Hebu tuangalie wenzetu wanavyojiachia kwa raha zao......

1.Jennifer Lopez.

2.Irina Shayk.

3.Check.....

4.Rita Ora.....

5.Jennifer Lopez.

6.Kim Kardashian.

7.Beyonce.

8.Beyonce & Kim Kardashian.

9.Kim Kardashian.

10.Rita Ora.

11.Ciara.

12.Jennifer Lopez.

13.Woooooh...

14.Jennifer Lopez

15.Jennifer Lopez.

16.Duuuuuh!

17.Jennifer Lopez.

18.Hatariiiii....!

 

19.Britney Spears.

20.Noma saanaa...!

 
21.Jennifer Lopez.

22.Jada Pinket.
 

22.Si mchezooo.

No comments:

Post a Comment