LOGO

LOGO

Wednesday 3 February 2016

Aisee...Lets stick on what we love!!You will never know... huenda ndio good life yako.

Inashangaza!

Richard & Famous ni diary ya picha illiyosheheni picha mbalimbali za selfie zilizopigwa na mpiga picha mmoja kutoka Australia anayeitwa Richard Simpkin, akiwa na watu mbalimbali maarufu duniani, wanamichezo, wanasiasa ili mradi tu uwe maarufu duniani. Zoezi lililofanyika kwa miongo kadhaa, nikimaanisha miaka kumi kumi kwenye mafungu kadhaa..

Kinachofurahisha au kushangaza ni kwamba sio kwamba picha zilipangwa awali nikimaanisha appointment, bali ni kwa sababu Richard Simpkin alikuwa mahiri wa kujua pa kuwapata mastaa. Alianza kama utani akiwa na mdogo akitembelea vyumbani kwenye viwanja vya michezo na kukusanya picha zilizobandikwa ukutani za mastaa. Baadaye akaanza kuwafuata wanamichezo na kupiga nao picha badala ya kubandua picha zao ukutani.

Mpaka kufikia miaka ya 90's Richard Simpkin alikuwa na albamu kubwa iliyosheheni picha za mastaa na hapo ndipo alipofanya hobbie ya kupiga picha na mastaa kuwa serious na mwisho ni biashara!
Ukweli ni kwamba Richard&Famous Photo Diary, sio kwa ajili ya mpiga picha huyo kujionyesha na selfies zake kuwa aliwahi kupiga na watu maarufu, bali kwake yeye ni kwa ajili ya kukumbuka watu waliofanya mambo makubwa kwa ajili ya dunia. So Richard&Famous Diary, ni business plus remembering our big figures from our selfies, for what they did to us not just for showing off!!

Akiwa na Nelson Mandela enzi hizo yeye akiwa bado mdogo. Unaweza ukaona alinza shughuli akiwa mdogo kiasi gani.........

Akiwa na Michael Jackson......

Akiwa na Dalai Lama.......

Akiwa na Kanye West.......



Akiwa na David Beckham na Victoria Beckham.....

Akiwa na Tiger Woods.....

Akiwa na Joan Collins.....

Akiwa na Jack Nicholson......

Akiwa na Drew Barrymore....

Akiwa na Keanu Reeves.....

Akiwa na muigizaji wa James Bond....

Akiwa na Audrey Hepburn...

Akiwa na Lady Gaga....

Akiwa na Michael Hutchence....

Akiwa na Robin Williams..

Akiwa na Nicole kidman na Tom Cruise...

Akiwa na Heath Ledger....

Akiwa na Al Pacino....

Akiwa na Dwayne Johnson A.K.A The Rock...

Akiwa na Tylor swift....
Akiwa na Oprah Winfrey
Akiwa na Kim Kardashian.....

Akiwa na Prince William....

Akiwa na Katty Perry.............

Akiwa na Lana Del Ray.......

Akiwa na Tom Hanks......

No comments:

Post a Comment