LOGO

LOGO

Wednesday 3 February 2016

Kardashian akifanya yake kwenye red carpets!


Celebrities huwezi kuwaambia kitu kwenye issue inayoitwa red carpet. Ni sehemu inayokaa pia kibiashara kwani anayekuvalisha lazima ajulikane so ni sehemu ya kibiashara pia coz anayevaa gauni au whatever anakutangaza so kutumia mastaa ni platform kubwa sana kwa designers! Tumuone Kim Kardashian akifanya yake  kwenye red carpets tofauti tofauti........











No comments:

Post a Comment