LOGO

LOGO

Friday 5 February 2016

Waliigiza kama wapenzi Kwenye TV, mwisho wakawa wapenzi kikweli kweli!

Ukiigiza kwenye Filamu na mtu kama mpenzi wako, na ukakutana na director ambaye anataka uigize  kama vile kweli, inakua ni kazi kubwa hasa kama inahitaji mambo mazito kama deep kissing au mambo mengine. Lakini kumbe katika kuigiza kuna wengine  huwa wanapata feelings za ukweli kiasi cha mwisho wa siku wakijikuta wakianzisha mahusiano ya kikweli kweli. Mfano hawa;(Picha ya kwanza wakati wanacheza sinema husika, picha ya pili wakati wapo mapenzini kiukweli ukweli)

Keri Russell na Scott Speedman.
Waliigiza pamoja kama wapenzi kwenye Felicity, Mwisho  wakawa wapenzi kweli.
 

Blake Lively na Penn Badgley.
Waliigiza pamoja kama  wapenzi kwenye Gossip Girl, Mwisho wakawa wapenzi kweli.

Adam Brody na Rachel Bilson.
Waliigiza pamoja kama  wapenzi kwenye The O.C, Mwisho wakawa wapenzi kweli.

Emily Vancamp na Josh Bowman
Waliigiza pamoja kama  wapenzi kwenye Revenge, Mwisho wakawa wapenzi kweli.

Jennifer Goodwin na Josh Dallas.
Waliigiza pamoja kama  wapenzi kwenye Once upon a Time, Mwisho wakawa wapenzi kweli.

Nina Dobrev naIan Somerhalder
Waliigiza pamoja kama  wapenzi kwenye The vampire diaries, Mwisho wakawa wapenzi kweli.

Chad Michael Murray na Sophia Bush
Waliigiza pamoja kama  wapenzi kwenye One tree hill, Mwisho wakawa wapenzi kweli.

Kat Dennings na Nick Zano.
Waliigiza pamoja kama  wapenzi kwenye 2 Broke girls, Mwisho wakawa wapenzi kweli.

Jennifer  Morisson na Jesse Spencer
Waliigiza pamoja kama  wapenzi kwenye House M.D, Mwisho wakawa wapenzi kweli.

Alexis Bledel na Vincent Kartheiser
Waliigiza pamoja kama  wapenzi kwenye Mad Men, Mwisho wakawa wapenzi kweli.

Lisa Rinna na Herry Hamlin
Waliigiza pamoja kama  wapenzi kwenye Veronica Mars, Mwisho wakawa wapenzi kweli.

Leighton Meester na Sebastian Stan
Waliigiza pamoja kama  wapenzi kwenye Gossip girl, Mwisho wakawa wapenzi kweli.

Anna Paquin na Stephen Mayor
Waliigiza pamoja kama  wapenzi kwenye True Blood, Mwisho wakawa wapenzi kweli.

Mila Kunis na Ashton Kutcher
Waliigiza pamoja kama  wapenzi kwenye That 70's Show, Mwisho wakawa wapenzi kweli.

Amy Poehler na Will Arnett
Waliigiza pamoja kama  wapenzi kwenye Arrested Development, Mwisho wakawa wapenzi kweli.

Jerry Ferrara na Jamie - Lynn Sigler
Waliigiza pamoja kama  wapenzi kwenye Entourage, Mwisho wakawa wapenzi kweli.

Alexis Bledel na Milo Ventimiglia
Waliigiza pamoja kama  wapenzi kwenye Gilmor Girls, Mwisho wakawa wapenzi kweli.

Jason Segel na Linda Cardellini
Waliigiza pamoja kama  wapenzi kwenye Freeks & Greeks, Mwisho wakawa wapenzi kweli.

Jennifer Garner na Michael Vartan
Waliigiza pamoja kama  wapenzi kwenye Alias, Mwisho wakawa wapenzi kweli.

Melissa Benoist na Blake Jenner
Waliigiza pamoja kama  wapenzi kwenye Glee, Mwisho wakawa wapenzi kweli.

Tea Leoni na Tim Daly
Waliigiza pamoja kama  wapenzi kwenye Madame Secretary, Mwisho wakawa wapenzi kweli.

Rose Leslie na Kit Harington
Waliigiza pamoja kama  wapenzi kwenye Game of Thrones, Mwisho wakawa wapenzi kweli.

Maggie Q na Dylan M-Dermott
Waliigiza pamoja kama  wapenzi kwenye Stalker, Mwisho wakawa wapenzi kweli.

 

No comments:

Post a Comment